We identify Talent, we record it and we take it to the people. (tuna vumbua vipaji,tunarekodi na tunapeleka kwa watu.) We are the new kid on the block in the recording industry in Tanzania.
Tuesday, August 24, 2010
Loues Jonas (with headphones)....Amazing pitch, soft and convincing tonations, Dreamerz Park audition team had to cut her audition short as she turned the audit room into powerful annointed worship arena, listen to the APrAW 2010 project for more...'
(Loues Jones (mwenye headphones)...sauti ya juu ajabu, laini na tone yakubembeleza,wasajili wa Dreamerz Park ilibidi kukatisha majaribio yake baada ya chumba cha majaribio kufunikwa na nguvu na upako wa kuabudu, sikiliza APrAW 2010 project kwa zaiada...)
Her Name is Sarah.....you will be touched by this new face in Africa!!!! ladies! she is just....she is gonna bless you ! Dreamerz Park came to realize her talent, creativity and determination when she was on stage performing, you dont wanna miss her presentation on the APrAW 2010 project....it just started from the recording night in the vocal room at Dreamerz Park Studios Mbezi beach(Kunduchi)....
u(Jina lake ni Sarah....utaguswa na sura hii mpya toka Afrika!!!wanawake!waukweli...atawabariki! Dreamerz Park walitambua kipaji chake, ubunifu na juhudi anapokua jukwaani,usikose kumsikiliza kwenye project ya APrAW 2010...
Imeanzia kwenye usiku wa kurekodi sauti katika studio za Dreamerz Park Mbezi beach (kundichi)
Miss Praise Nyandimu, An artist, another unbelievable talent, All the way from Zimbabwe, listen to how she can play with her voice in the APrAW 2010 album.Hey musicians! never try to lie to her when she asks you "what key is that" ...she is a music teacher, born a talented singer, Jazz singer, ...apart from the APrAW project, she has her powerful album DVD and CD coming out this september ...wel, a Dreamerz Park production.
(Miss Praise Nyandimu, msanii, kipaji cha kuaminika, kutoka Zimbabwe, sikiliza jinsi anavyoweza kucheza na sauti yake kwenye albam ya APrAW 2010.Wanamuziki, usijaribu kumdanganya akiuliza "ufunguo gani huo unapiga"...ni mwalimu wa muziki, kipaji cha kuzaliwa cha uimbaji,mwimbaji wa Jazz,...mbali na albamu ya APrAW, Anazo DVD na CD zake za ukweli zitakazo toka mwezi September)

Saturday, August 14, 2010
Coming Soon - Dreamerz Drumer 2010
Hey Tanzanians do you think you have what it takes to be Mr Dreamerz Drummer 2010.
(hallow Watanzania, Je unafikiri unacho kinachokufanya uwe Mr Dreamerz Drummer 2010)
There are a lot of prizes up for grabs.
Start sending you applications including contact details to dreamerzpark@gmail.com. Applications are welcome from all over Tanzania. Be the FIRST and beat the rest.
(Zipo zawadi nyingi za kujinyakulia. Anza kutuma maombi yako ukiambatanisha
mawasiliano yako kupitia dreamerzpark@gmail.com. Watanzania wote mnakaribishwa kujiunga. Kuwa wakwanza kuwa mshindi.)
If you know someone you think would make the cut, tell them to apply. SPREAD THE WORD
(Kama unafahamu mtu ambaye anawaweza kuiunga mwambie. ENEZA HABARI.)
Watch this space for more details.
(endelea kufuatilia kwa maelezo zaidi)

APrAW Revival project TANZANIA
Well, APrAW Revival Tanzania will be coming to the Tanzanian music stores anytime from Monday. It took longer than expected to finish it.
Albam ya APrAW Revival Tanzania itapatikana katika maduka ya muziki hivi karibuni kuanzia jumatatu. Imechukua muda mrefu usiotegemewa kamalizika.
Friday, August 13, 2010
APrAW Revival project
Our first project features untapped talent in Tanzania, the likes of El andre, Lau Lau, Luiza, Sarah, Jesca to mention just a few. It also features Praise Nyandimu a member of APrAW Revival Zimbabwe.
Kazi yetu ya kwanza tukishirikiana na vipaji visivyo shikika hapa Tanzania, akiwemo El andre, Lau Lau, Louise, Sarah, Jesca hao ni wachache tu.Pia inamshirikisha Praise Nyandimu mshiriki wa APrAW Revival Zimbabwe.

Subscribe to:
Posts (Atom)